Kirangi (kwa kilugha Kilangi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Warangi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kirangi imehesabiwa kuwa watu 410,0000..
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Dodoma, Mwanza, Dar es Salaam, Arusha, Tanga, Morogoro, Babati, na Singida.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.